Thursday, June 15, 2017

 JUMPSUIT

Makenzi kitenga jumpsuit wengi tumezoea za kushop lakini unaweza kuishona kwa aina yeyote ya kitambaa ambacho utavutiwa nacho wewe mvaaji kama hapo tumeona binti alivyo tupia na kiremba mashaa Allah.
 JUMPSUIT

 JUMPSUIT

 Jumpsuit unaweza kupata aina tofauti ndefu, fupi akisi na fupi zaidi na pia juu ina weza kuwa na mikono au iwena mikono ya kama vest ni jinsi gani utapenda kuonekana kwenye kivazi hiki cha jumpsuit.
 JUMPSUIT


 JUMPSUIT

JUMPSUIT

 hii pichani kitambaa chake ni cha mpira na ni ndefu na imemwaga kama bwanga nguo yeyote ikiwa kipimo ni chako inakufanya kuwa mwenye mvuto zaidi sasa kwa watoto tuhakikishe nguo isimzidi saizi ili aweze kuwa huru na afurahie vazi lake, yale maswala ya atakuanayo ya mepitwa na wakati.


JUMPSUIT

Friday, June 9, 2017

 BLACK DOT/DOT STYLE

Dotidoti
Leo napenda tuzungumzie dotidoti mara nyingi kina Mama wengi na wasichana ndio wamekua wakienda na fashion tunasahau watoto nao wana haki hiyo pia, 

Dotidoti inaweza kuvaliwa kwa mchanganyiko wa rangi ila maarufu zaidi ni dot nyeupe na nyeusi kama hapo juu tuonavyo una weza kuvaa dot na plan yaani juu ikawa rangi moja na chini dot.


 DOT STYLE

White dot ndani ya black ina shine vizuri na kupendeza zaidi kama hapo nguo imewekwa mikono mirefu black imezidi kuvutia, kilicho ni bamba zaidi ni ua black lilo bandikwa limezidi kuifanya nguo kuanzuri zaidi watoto na mau ndio yana wapendeza.
 DOT STYLE
Black dot
kitamba ni cheupe ila kina dot black simple dress but amazing imeongezwa na mkanda mweusi ila nimenivutia zaidi ua la kichwani mashaa Allah.    

 DOT STYLE
hapa tunaweza kuona white dot ilivyo noga kwenye dark blue hii inaonyesha kila rangi inaweza kupendeza ikiwa na dot hata nyekundu black dot au white zitapendeza tuu hai kulazimu iwekwenye kitamba cheupe tuu au cheusi tuu
 DOT STYLE

Hapa tunaona pia waweza kuvaa rangi yeyote ya top juu lakini chini uka vaa na sket ya dot kama hapo juu na ikawa bomba kabisa.

DOT STYLE

Wednesday, June 7, 2017

 JEANS FASHION 
 
Habari wapenzi wa blog yetu pendwa 
Leo tutizame fashion ya jeans zipo aina mbali mbali waweza kumvalisha mwanao aidha full jeans kama huyo hapo juu, kavaa kot ya jeans na skin jeans na kapendeza sana za idi walet yake ndio hatariiiii imezidi kumfanya onekane smart zaidi kwani imeendana na viatu vyake vyenye stone.

  JEANS FASHION

Jeans kwasababu ni plan una weza kuvaa na kitu kingine tofauti kama hapo binti katupia na sketi ya chui chui hata ikiwa ya mau inapendeza pia hapo kijana kava na suruali nyeusi pia imenoga sana.
  JEANS FASHION

Kot ya Jeans una weza kumtupishia kama hapo juu ya gauni sasa hapa pia gauni haijalishe ikoje ila weza kua rangi moja au rangi nyingi, mistari kama hiyo hapo jua au nyote au vyovyote vile ndefu au fupi zote zina pendeza.
 JEANS FASHION

Top dress Jeans kama hii unaweza kuvaa na skin tyt kama hapo na haijalishi ni rangi moja au zaidi ya moja kwa sababu juu yuko single colour atakua mwenye kuvutia zaidi hapo hako kamkanda ndio kameni gusa zaidi coz kamemechi na buti yake.

Friday, June 2, 2017

 RAMADHAN KAREEM TO ALL MUSLIMHIJAB GIRL


ASALAAM ALEYKUM

Tumekutana tena kwenye mwezi wa ramadhani ndugu zangu wapenzi wa blog yetu.
pichani tunamuona mtoto wa kiislam akiwa kavalia Bwanga top na mtandio Mashaa Allah kapendeza sana japo kavaa rangi nyingi lakini yuko kifashion zaidi,

wazazi kama tunataka watoto wetu wavae stara lakini tusiwavalishe vitu vitakavyo mfanya mtoto kujihisi mzito au hayuko huru kucheza,

kama mtoto pichani amevaa stara lakini yuko huru kwasababu mavazi haya mbani mwilini na sio mazito sana kwake na pia yana mfanya aonekane mrembo zaidi.

Monday, January 9, 2017


UONGOZI WA TAIFAJIPYA BLOG UNAWATAKIA WOTE WAPENZI WETU KHERI YA MWAKA MPYA NA UNAHIDI MAMBO MENGI MAZURI KWA MWAKA 2017 NI MWAKA WA KUTIMIZA NDOTO KWA WATOTO WETU NA KUWAFANYA WAWEWENYE FURAHA ZAIDI,

BLOG YETU ITADILI NA WATOTO WA UMRI 0 MPAKA  MIAKA 18  KATIBA YETU YA NCHI INASEMA MTOTO WA MWENYE UMRI WA MIAKA 18 NI MTU MZIMA.

WAZAZI, WALEZI KARIBUNI SANA KWA KUTUFIKISHIA TAARIFA ZA WATOTO AMBAO MTAMPENDA WAONEKANE NA KUSHIRIKI KWENYE PROJECT ZETU MBALI MBALI AMBAZO TUTAKUA NAZO KWA MWAKA HUU 2017.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WHATSAAP KWA NAMBA +255 714 044 877.


Sunday, January 8, 2017

 SALHA
KIDS FASHION & STYLE 
SALHA ANAISHI DAR MAMA YAKE ANA HAKIKISHA MWANAE ANAKWENDA NA FASHION NA ANAONEKANA MREMBO MUDA WOTE.
KWA PICHA ZINGINE ZAIDI SHUKA CHINI UTAONA AKIWA KATIKA POSY TOFAUTI NA NGUO TOFAUTI PIA.

 SALHA

 SALHA

 SALHA

 SALHA


Monday, January 2, 2017

 NANCY
MODEL 
Anapenda sana Fashion anapatikana Mbeya kwa ni zaidi ya Model kwasababu naona picha zake nyingi na anajiamini sana kwa watakao penda kuona picha zake zaidi wapite kwenye ukrasa wa instagram wa mama yake @nasramaganga18 check picha cha kwa leo.

 NANCY


 NANCY

 NANCY


 NANCY


 NANCY

JASMINE
MODEL 
fashion & style
Anapenda fashion samna na urembo kwa ujumla Mama yake anamsupport na yuko nyuma yake.

Thursday, December 22, 2016 ILHAM ALLY

MODEL 
KIDS FASHION & STYLE
KITENGA, STOCKING AND SIMPLE SHOE  UMEPENDEZA SANA BABY ILHAM
KITENDE  BY SUBIRA WA SUSUKOLLEXION ANAPATIKA INSTAGRAM KWA HINA LA @susukollexion  KWAKWELI NI MBUNIFU MZURI SANA.
 ILHAM ALLY

 ILHAM ALLY

ILHAM ALLY