Monday, January 16, 2017

MOHAMMED & MUNEER HANIU


HAPPY BITHDAY BOYS

PICHA ZAIDI ZAMA MATUKIO.

Friday, January 13, 2017

 DANNIE JESUS

Watoto nifuraha ndani ya nyumba ikitokea Familia haija jaaliwa kupata mtoto nyumba hiyo huwa amani yake ni ndogo sana na pia haina uchangafu hata machoni mwawatu,

Nyumba nyingi zenye watoto hupendeza kutokana na pilika za watoto maana mirango hufunguliwa na kufungwa kila mara, kidogo vilio na vicheko kufukuzana na kuruka ruka kwakweli kuwa na mtoto ni baraka kutoka kwa Muumba.

Ukijaaliwa kupata mtoto hunabudi kumshukuru Allah kwani wapo wenye uhitaji huo na bado hawaja jaaliwa,

Tuwapende, Tuwalinde na Tuwajali watoto wetu.

 DANNIE JESUS
 DANNIE JESUS
 DANNIE JESUS
 DANNIE JESUS
 DANNIE JESUS


Monday, January 9, 2017


UONGOZI WA TAIFAJIPYA BLOG UNAWATAKIA WOTE WAPENZI WETU KHERI YA MWAKA MPYA NA UNAHIDI MAMBO MENGI MAZURI KWA MWAKA 2017 NI MWAKA WA KUTIMIZA NDOTO KWA WATOTO WETU NA KUWAFANYA WAWEWENYE FURAHA ZAIDI,

BLOG YETU ITADILI NA WATOTO WA UMRI 0 MPAKA  MIAKA 18  KATIBA YETU YA NCHI INASEMA MTOTO WA MWENYE UMRI WA MIAKA 18 NI MTU MZIMA.

WAZAZI, WALEZI KARIBUNI SANA KWA KUTUFIKISHIA TAARIFA ZA WATOTO AMBAO MTAMPENDA WAONEKANE NA KUSHIRIKI KWENYE PROJECT ZETU MBALI MBALI AMBAZO TUTAKUA NAZO KWA MWAKA HUU 2017.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WHATSAAP KWA NAMBA +255 714 044 877.


Sunday, January 8, 2017

 SALHA
KIDS FASHION & STYLE 
SALHA ANAISHI DAR MAMA YAKE ANA HAKIKISHA MWANAE ANAKWENDA NA FASHION NA ANAONEKANA MREMBO MUDA WOTE.
KWA PICHA ZINGINE ZAIDI SHUKA CHINI UTAONA AKIWA KATIKA POSY TOFAUTI NA NGUO TOFAUTI PIA.

 SALHA

 SALHA

 SALHA

 SALHA


Monday, January 2, 2017

 NANCY
MODEL 
Anapenda sana Fashion anapatikana Mbeya kwa ni zaidi ya Model kwasababu naona picha zake nyingi na anajiamini sana kwa watakao penda kuona picha zake zaidi wapite kwenye ukrasa wa instagram wa mama yake @nasramaganga18 check picha cha kwa leo.

 NANCY


 NANCY

 NANCY


 NANCY


 NANCY

JASMINE
MODEL 
fashion & style
Anapenda fashion samna na urembo kwa ujumla Mama yake anamsupport na yuko nyuma yake.

Thursday, December 22, 2016


 SAKINA

KITENGE








 ILHAM ALLY

MODEL 
KIDS FASHION & STYLE
KITENGA, STOCKING AND SIMPLE SHOE  UMEPENDEZA SANA BABY ILHAM
KITENDE  BY SUBIRA WA SUSUKOLLEXION ANAPATIKA INSTAGRAM KWA HINA LA @susukollexion  KWAKWELI NI MBUNIFU MZURI SANA.
 ILHAM ALLY

 ILHAM ALLY

ILHAM ALLY





Monday, December 19, 2016


 RAHMA ISSA

MODEL 
Anapenda fashion and style and nywele halisia zinamuongezea urembo zaidi. instagram anapatikana kwenye page ya mama yaje @shooangel73
 
 RAHMA ISSA

 RAHMA ISSA

 RAHMA ISSA

 RAHMA ISSA

RAHMA ISSA
CAKE

Kwa picha zaidi ingia kwenye kipechi cha Matukio kuona party ilikuaje.

Saturday, December 17, 2016


 ABIGAIL GABRIELA

kidsfashion and kidsblog fashion mrembo huyu anayo account instagram ambayo mama yake ndio anaiongoza, she so pretty Wallah.
anaitwa @babyabigailgabriella

 ABIGAIL GABRIELA

ABIGAIL GABRIELA
PATRIC

Hongera kwa kuongeza mwaka mwingine Patrick smart boy in Tz,  HAPPY BIRTHDAY HB.
 Kwaupande wa kuvaa/kutupia Patrick ni mmoja wa watoto ambao wapo kwenye fani hii ila kwangu huwa namuona ndio mjanja wao wote. instar page yake @patdasmartboy