HAPPY BIRTHDAY BOYS MOHAMMED & MUNEER
WA SLOUGH, ENGLAND
MR & MRS RIDHIWAN HANIU WANALIANDA PARTY NYUMBANI KWAO YA WATOTO WAO WAWILI NA WALIAKA MARAFIKI ZAO PARTY ILIKUA NZURI SANA.
SHUKA KWA KUONA PICHA ZAIDI
CAKE YAMUU YAMUUU
CAKE
MOHAMMED & MUNEER
WAKIWA NA CAKE ZAO TAYARI KWA PARTY CAKE NI NZURI SANA WALLAH (UDENDA UMENITOKA)
MOHAMMED , MUNEER & MUMMY
MRS. RIDHIWAN HANIU BI. MWAJUMA ALIKUA KUFURAHIA NA WANAE KWANI KAMA MZAZI UKIONA MWANAO ANAKUNA NA MWENYE AFYA ALHAMDULLAH NI FURAHA HASWA.
MSOSI YAMMY YAMMY
KILIANDALIWA CHAKULA KWA PAMOJA KWA WASWAHILI PARTY BILA MNUSO HAIENDI JAMANI (KUTAMANISHANA HUKU)
CHAKULA NA MARAFIKI
MIJIZAWADI KUTOKA KWA WAALIKWA
MOHAMMED & MUNEER
POSSY LA UKUMBUSHO BAADA YA PARTY MASHAA ALLAH MUWE WATOTO WEMA KWA WAZEE WENU.
MOHAMMED , MUNEER & FATHER
CAKE
HAPPY BORN DAY BABY HAYSAM, MAY ALLAH GRANT YOU MANY MORE YEARS FULL OF BLESSINGS AND HAPPINESS
HAYSAM
HAYSAM
CAKE TIME
HAYSAM WITH FRIEND
YAM YAM
NURIAN
HONGERA SANA NURIAN KWA KUMALIZA ELIMU YA AWALI, MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE KUIPENDA SANA ELIMU KWA HAPO NDIO KWANZA UNAANZA SAFARI KUISAKA ELIMU.
KILA LA KHERI MTOTO MZURI
NURIAN
LAURYN
BIRTHDAY GIRLS
LAURYN
GABRIELLA
LORENDA
BIRTHDAY GIRLS
Hizo nikeki msije mkahisi handbeg no mambo ya A.Town hayo mashaa Allah wametokelezea
BIRTHDAY GIRLS
Wakikata keki zao huku wakiwa na nyuso za furaha Wallah inapendeza sana, hongereni sana kwakuongeza mwaka.
SISTERS WAKILISHANA KEKI
LAURYN & LORENDA WAKIWA NA MAMA BAADA YA KUMLISHA KEKI
LAURYN ALIANZA ZOEZI LA ULISHAJI KEKI KWA WAALIKWA WOTE KWENYE PARTY.
ILHAM ALLY DALLAS
Hongera sana Baby Ilham kwa kutimiza miaka 8 Mwenyezi Mungu akujaali uwemtoto mwema kwetu sote.
Ilham Birthday party ilifanyika OPLICITY RESTAURANT iliopo makumbusho pembeni ya jengo la Tigo.
ILHAM AKIWA NA MARAFIKI ZAKE
ILHAM AKISAIDIWA KUAANDA KEKI
ILHAM AKIWA MLISHA KEKI RUJAYNA
ILHAM AKIMLISHA KEKI KHAIRUN MDOGO WAKE
ILHAM AKIMLISHA KEKI AMINA
ILHAM AKIMLISHA KEKI SAKINA
ILHAM AKIMLISHA KEKI STAFF WA OPLICITY
ILHAM AKIMLISHA KEKI STAFF WA OPLICITY
ILHAM AKIMLISHA KEKI MAMA YAKE
ILHAM AKIMLISHA KEKI MAMA JASMEEN
ILHAM AKIMLISHA KEKI ODO SAADA
ILHAM WAKIPA LUNCH NA MARAFIKI ZAKE
ILHAM NA MARAFIKI ZAKE ANAO FANYA NAO KAZI AS MODEL OF TAIFA JIPYA BLOGSPOT BAADA YA KUMALIZA PARTY HONGERA SANA ILHAM ALLY DALLAS
ILIFANYIKA SIMPLE PARTY DARASANI KWAO NA MWALIMU, MAMA TANEESHA, MDOGO WAKE EMMY NA WANAFUNZI WOTE.
TANEESHA
CAKE TIME
TANEESHA & EMMY
TANEESHA & MAMA

TANEESHA AKIMLISHA FRIEND CAKE
DARASA ZIMA WALIGAWIWA ZAWADI KUTOKA KWA MAMA YAKE NA TANEESHA WALIONEKA KUZIPENDA NA KUFURAHIA SANA.
MODEL'S WAKIONYESHA MAVAZI NA VIPAJI VYA KUCHEZA MUZIKI,
MADAM SIZA, MADAM FARIDA, MADAM SUBIRA WA SUSUKOLLECTION NA MADAM HASNA WA SINGLE MOTHER WAKIFUATIA FASHION SHOW
SHALON & JASMEEN WAKIWA NA KIVAZI CHA AINA MOJA ILA RANGI TOFAUTI KUTOKA JUNOR BABY SHOP NINGUO NZURI SANA INSTAGRAM WANAPATIKA KWA JINA LA @dallasbills UNAWEZA KUONA VITU VYAO ZAIDI.
MODEL'S WOTE WAKIWA KATIKA POZI TOFAUTI KWENYE ZURIA JEKUNDU
Models walio katiza red carpet siku ya Event na walishiki pia kuonyesha bidhaa za maduka mawili MAUREEN BABY SHOP NA JUNIOR BABY SHOP ya vitu vya watoto kama vile nguo, viatu, mabegi na michezo mbalili.
ASHILAF
LOUIS
ILHAM
JASMEEN
MAURINEE
RUJAINAH
SAKINA
SHALON
AMINA
CAKE
SHARON & KHAIRUN
SHARON & KHAIRUN
SHARON & KHAIRUN
hahaha sharon si kwa uoga huo lol moto jamani watoto wanaogopa kuungua.
MAMA KHAIRUN AKIMUANDALIA KEKI
MAMA SHARON AKIANDA KEKI
KHAIRUN AKIMLISHA KEKI SHARON
BIRTHDAY GIRLS WITH SISTERS
BIRTHDAY GIRLS WITH FRIENDS
VENUE
Unaweza kuona keki za Ashuruny zilivyo andaliwa classic kuna queen cake na keki zingine venue inavutia sana hongera sana Mama kwakumuandalia baby very nice party.
CAKE 1
CAKE 2
CAKE 3
Haya mama tunyooshe na makeki kwa sifa shikamoo wasomari hahaha kwakweli anastahili ulichomfanyia baby Ashuruny.
MADOLALI
Kweli mchezo pesa tena sio za kibongo madolali ndio habari ya mujini.
ASHURUNY & FRIENDS
party ilikuanzuri sana.
RAYYA BIRTHDAY PARTY
CAKE
RAYYA
RAYYA
RAYYA
RAYYA
AT THE PARTY
Rayya macho yote kwenye keki kweli hapana chezeya supplies shutu hajiamini muda wote.
RAYYA AKIMLISHA KEKI MAMA
RAYYA AKIPONGEZWA NA RAFIKI
RAYYA AKIPONGEZWA NA RAFIKI
RAYYA AKIPOKEA ZAWAD
RAYYA AKIPONGEZWA NA MAMA KWA MADINI
Hapo nadhani ndio alipasubiria kwa hamu maana sio kwa furaha hiyo shuti meno yote yako nje, kweli kila mtu anajua kitu cha thamani na kukipenda.
RAYYA , MAMA NA BIBI
WAKIPATA CHAKULA NA MARAFIKI
WAKIPATA CHAKULA NA MARAFIKI
WAKIPATA CHAKULA NA MARAFIKI
WAKIPATA CHAKULA NA MARAFIKI
MTOTO AKISOMA AKITAZA BANGO
WATOTO WAKIWAKWENYE FOLENI YA KUPAINT SURA ZAO
MTOTO AKIWA AMECHORA RANGI ZA TANZANIA NA ALAMA YA LOVE KUASHIRIA ANAMAPENZI NA NCHI YAKE
BAADHI YA WATOTO WAKIWA KWENYE MASHINDANO YA KUCHORA NA KUANDIKA NA WENGINE WAKISHINDANA KWA KUSOMA MASHAIRI
NILIKUTANA NA MEZA JUMBO WALIKUA WAKIUZA DVD, T.SHIRT ZAO NAKUONYESHA BAADHI YA PROGRAMA ZAO WALIZO KUWANANAZO
FLAVIANA MATATA FOUNDATION WALIKWEPO KWA KUUZA BIDHAA ZAO ZA SHULE
WATOTO WAKIWA WENYE FURAHA
EVENT YA WATOTO WADHAMINI WAKUU WALIKUA STARTIMES
WATOTO WAKIWA TAYARI KWA MICHEZO NA MASHINDANO MBALI MBALI YALIYO DHAMINIWA NA STARTIMES WA UZAJI WA VING"AMUZI.
MTOTO AKIWA TAYARI KAPRINT USO NA ANAFURAHA KUWEPO KWENYE EVENT
WATOTO WAKIFUATIA JAMBO KWENYE EVENT
MADAM ROSE AKIWAONGOZA WATOTO KWENYE MICHEZO
WATOTO WAKIWA TAYARI KUPATA MATOKEO KWA TEAM IPI IMESHINDA WACHUKUE ZAWADI ZAO
BAADHI YA WAZAZI NA WALIMU NAO WALIULIZWA MASWALI NA MANAGER WA STARTIMES BI. PAULINA KIMWELI ILI WAWEWEZE KUJINYAKULIA KING"AMUZI CHA STARTIMES
ERICK WA STARTIMES AKIWAONGOZA WATOTO MCHEZO WA KUWAHI KUKAA KWENYE KITI NA HATIMA KUPATA MSHINDI
MTOTO AKIJIBU SWALI
WATOTO WAKIWA SAMBAMBA NA MWALIMU WAO
MTOTO MWINGINE AKIPOKE ZAWADI KUTOKA KWA MANAGER WA STARTIMES BAADA YA KUSHINDA PIA.
FURAHA KWA MZAZI BAADA YA BINTI YAKE KUSHINDA KING"AMUZI
BAADHI YA WAZAZI, WALEZI NA WALIMU WALIO LETA WATOTO KWENYE EVENT
TEAM SINGLE MOTHER PIA WALIKUWEPO KUHAKIKISHA EVENT INAKWENDA SAWA
MANAGER WA STARTIMES BI. PAULINA AKIWA NA TEAM YAKE ALIOAMBATANAO KWENYE EVENT.
FOLENI YA KUCHUKUA T.SHIRT KWA AJILI YA MASHINDANO
T.SHIRT KWA AJILI YA MASHINDANO
WATOTO KATI YA MIAKA 12 MPAKA 16 WA CHUKUA T.SHIRT
WAKICHANGAMSHA MISULI
MZAZI AKIMUANDA MTOTO TAYARI KWA MASHINDANO
BAADHI YA WASIMAMIZI WAKITOA MALEKEZO KWA WATOTO
WATOTO WA MWAKA 1 MPAKA 4 WAKIWA NA WAZAZI WAO TAYARI KWA MASHINDANO
WATOTO WAKIWA TAYARI KWA KUANZA MASHINDANO
WATOTO WAKIWA BARABARA KWA MASHINDANO WAKIFUATA VIONGOZI WANAO ONGOZA NJIA YA KUPITA
WATOTO WA MWAKA 1 MPAKA 4 WAKIKIMBIA MITA 50 NA WAMIAKA 5 MPAKA 7 WAKIMBIA MITA 10 WASHINDI WAKWANZA MPAKA 10 WALIPATIWA ZAWA MBALIMBALI ZIKIWEMO FEDHA TASRIM NA MEDANI
ASKARI WA USALAMA BARABARA AKIONGOZA MBIO NDEFU WALIKIMBIA KILOMETA 5 WASHILIKI WALIKUA WATOTO WA MIAKA 12 MPAKA 16
BAADHI YA WASHILIKI WA MBIO NDEFU ZA KILOMETA 5
MSHINDI WA KWANZA KWENYE MBIO NDEFU ZA KILOMETA 5 AKIPOKELEWA
MSHINDI WA PILI WA KILOMETA 5 AKIMALIZA MBIO
MSHINDI WA TATU NAE AKIMALIZA KWA MOYO KABISA
BAADHI YA WATOTO WALIOMALIZA MBIO LAKINI WALIPOTEZA FAHAMU
MTOTO AKIWA HAJITAMBUI KWA UCHOVU
MTOTO ALIE ZIMIA AKIPELEKWA KUPATIWA HUDUMA YAKWANZA
MSHINDI WA KWANZA AKIHOJIWA NA VYOMBO VYA HABARI
MSHINDI WA PILI AKITOA MAELEZO YAKE
BAADHI YA WASHILIKI WA KITIZAMA MAANDALIZI
HAPA WAKIONYESHANA NAMBA ZAO NA KILA MOJA KUJIAMINI KUIBUKA KIDEDEA
MTOTO 864 KAMA INAVYOSOMEKA AKISUBIRIA MASHINDANO KWA HAMU KUBWA
MSHIRI AKIWA KATIKA POZI LA KUSUBIRIA MASHINDANO