Friday, August 29, 2014




Habari zenu?
Napenda sana fasheni (fashion & Style)

Kila Mwanadam hapa duniani anapenda sana KUPENDEZA NA KUVUTIA kimtazamo na pia ikitokea umetoka ukakutana na mtu akakusifi nifura sana na ujisikia raha kwakweli sasa hii isiishie kwetu sie watu wazima tuu hata watoto kama hiyo mtoto hapo juu pichana .

Mbunifu wake na mkubali sana kuanzia juu mpaka chini amependeza Kilemba chake kipekaa simple la kina vutia blue ipo kwenye kilemba na jens yake nyeupe ipo kwenye kiatu pinc ipo kwenye miwani na kindoo alicho shika na vibangili alivyo vaa na poz alilo weka ndio kazidi kupendeza.

Kuna wamama wengi wakitanzania wanajua kuvaa wana vutia lakini unakuta wanawasahau sana watoto wao jamani watoto pia wanatakiwa kubuniwa ili waonekane tofauti na wengine.

Binafsi nikikutana na mtoto katupia huwa macho yananitoka sana kuliko mtu mzima kwasababu mtu mzima kawaida yao.




Mcheck huyo dogo alivyo tupia kuazia juu katoka poa sana huwa hakoseagi huyu picha zake nyingi sana nimemuona.



huyu pia mama yake aliumiza kicha napenda alivyo tupia katoka poa sana na pozi lake yuko busy na game hana habari.




haya kamrembo kenyewe cute cute 
nywele zake nzuri sana na pozi za picha zina vutia zaidi.