ABEID KARUME
Huyu ndio muasisi wa Muungano huu tulionao leo hii kati ya Zanzibar na Tanganyika kwa upande wa Zanzibar alikwepo yeye Hayati Mzee Karuma na Kwa Tanganyika alikwepo Hayati Mwalimu J. K. Nyerere.
Mwl. J. K. Nyerere
WAASISI WA TANZANIA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA
Ikumbukwe bila hekima za hawa watu wa wili leo hii tusinge kua na Taifa linaloitwa Tanzania na wala kusingekua na umoja kama huu tuliona na ni vyema kabla hujaanza kuubeza na kuona hayo mapungufu inabidi ufikilia mara mbili hawa walio unganisha wangewaza masilahi yao binafsi bila kutuwazi sisi kizazi hichi tunao jua kukosoa leo hii tungekua wapi?
VIVA MUUNGANO
VIVA TANZANIA
Mwl. J. K. Nyerere akichanganya mchanga.