Wednesday, June 8, 2016

 OUT ABOUT
 Wazazi wachache saana wanao kumbuka kama watoto wetu pia wanahitaji mikoba, miwani za urembo aina mbali mbali za viatu, ifikia hatuo wote twende sawa kwenye fashion.


 GAUNI NA RABA
Wengi wanadhani huwezi kumvasha mtoto gauni na raba ila inategemea aina ya raba na gauni yake na rangi sio lazima zifanane kwa rangi ila kila rangi ambazo ukiva unaona kabisa zinaendana kwa macho kwa mfano picha hiyo hapo juu.

 
 AFRICAN TOUCH
Kitenge kinaweza kuvaliwa kwa wanawake na wanaume na watoto wa jinsia zote na bado wakapendeza na kuvutia  na kinaweza pia kushonwa mishono tofauti ya kuchanganya na kitambaa kingine kama vile lesi, shifon, cotton .....





BAHAMA
 Bahama au wengi huita vikoi kutokana na aina ya kitamba kuwa laini pia unaweza kushona mishono tofauti na kikapendeza mbali na kujifunga.

 UNAWEZA KUSHONA PIA KANGA ZA INDIA KWASABABU NIKIVAZI CHEPESI CHA KUVAA KIPINDI CHA JOTO

BAZEE
Waafrica wengi hupenda kuva bazee kwa watu wazima maranyingi lakini hata watoto wakivalishwa huwa wanapendeza saana hata kwa mishono hiyo hiyo wanayoshona watu wazima kama inavyo onekana hapo juu.