1st Birthday
Nifura kwa wazazi mtoto anapotimiza mwaka mwiingine kwani shuhuli ya kulea sio mchezo, ila sikuizi inabidi mzazi uwaze saana mwanangu atatoka vipi siku ya birthday yake ikifika.
Huwa na mwitaka huyu mtoto Min Wema ila anafanana nae kiukweli.
hii picha niliona mama yake kapost na watu wakimuwish birthday ila kavaa gauni simple ila nzuri saana na hairband yake ndio shuhuli sijui bongo ipo au tumajani tutakava lol
Happy birthday Min wema.