Thursday, August 11, 2016

 FASHION STYLISH ELIAN

Kwa mara ya kwanza niliona page yake ya instagram nikavutiwa saana na uvaji wake na mpangilio wa rangi za nguo, miwani na viatu .
 
 DIFFERENT COLOUR
unaweza kuvaa rangi tofauti likini ukawa mwenye kuvutia zaidi kama hapo kiatu, suruali, top na miwani ila kashaini hatari. 
 
 SUTI ON POINT