HAPPY BIRTHDAY 
SUMAYYAH KHALFAN
SUMAYYAH
Baby Sumayyah anaishi mji wa LEICESTER ENGLAND ametimiza miaka 3, Inshaa Allah amjaalie awe mtoto mwema kwa wazazi wake Hongeraa saana 
Mashaa Allah kapendeza saana nguo yake ninzuri sana, Viatu, Accessory   
CAKE YA SUMAYYAH
SUMAYYAH AKIWA NA  CAKE
WAZAZI WA SUMAYYA PAMOJA NA  KAKA SULEIMAN  WAKIWA PAMOJA NA BIRTHDAY GIRL WAKI HAKIKISHA ANAFURAHIA SIKU YAKE MUHIMU SAANA
Hongera saana Baby Sumayyah Ahsante saana Mama mzazi wa Sumayyah Mamy Maine aka Mrs Khalfan original wa LEICESTER ENGLAND. 
 
 
 
 

