Wednesday, September 7, 2016

ACCESSORIES

Watoto pia wanavitu vya kutupia ambavyo vinazidi kumfanya aonekane mrembo na smart, mara nyingi wazazo huwa  wanasahau kuwafanyiashoping kwenye vitu kama saa, kofia, mikoba, scafs, hand bag, miwani nk. 

HAND BAGS

Hata watoto wanaweza kuva handbag za rangi tofauti sio tuu rangi moja yani kama watu wazima tunavyo fanya na zipo aina mbali mbali za mikoba kutokana na uwezo wa mtu umri wa mtoto na handbag ya kununua.
 
 ACCESSORIES

vipo vitu vingi kama Pochi ndogo za mkononi, hairbands, chupio nk kiukweli watoto kwasasa wanakuana vitu vingi kama watu wazima ila ni wewe tuu mzazi uamue mwanao aende na wakati au laa kutokana na mfuko wako pia vya bei rahisi pia vipo.
 
 HAND BAGS

Designer wa hii ochi ya kitoto katoa vitu vingi saana vya kitoto nguo, viatu nk ni moja ya Madesigner wanao soko la fanya Kids Fashion liende mbele zaidi.
 
 HAND BAGS

Lv pia hakuwaacha nyuma watoto ametoa aina mbali mbali za kids hand bag ni nzuri sana na mtoto akiwa nayo anaonekana nimwenye kwenda na wakati kwasababu huwa haziishi fashion.
 
 HAND BAGS

 HAND BAGS & SIMPLE SHOE

HAND BAGS