CATHERINE
Mrembo kutoka tanga anawapa salam na anapenda kujitambulisha na amevutiwa na kazi zetu na tutakua nae kwenye baadhi ya eventy inshaa Allah.
Malengo yake
Kuwa model mkubwa kama kina Millen Mgesa anandoto ya kufuata nyayo zao.
CATHERINE
CATHERINE
CATHERINE