ILHAM BIRTHDAY CAKE
Thank you so much BETA BAKERY TABATA MUSLIM kwa kumpatia Model wa taifa jipya blog cake bure.
Cake yenu ni tamu sana na model wetu kaipenda sana.
kwa cake za event mbali mbali fika Beta bakery tabata Muslim wasiliana nao kwa namba 0752 400 311 page ya instagram ni @betabakery
kwa picha zaidi ingia kwenye matukio.