Wednesday, December 14, 2016

 FAITH RAWRENT

Anaishi Mbeya umri wake ni miaka 4 anapenda fashion, na urembo wazazi wana msupport kwenye hilo.
 
 JASMEEN

Kids fashion anapenda sana urembo na fashion kama hapo kavaa Kitenge na raba white + vest white. kaonekana mrembo zaidi kwa moangilio huo wa Rangi.
JOSEPH

Anaishi Dar umri wake ni miaka 5. Anawapa hii wapenzi wa blog ya taifajipya.