JASMEEN
Kids Fashion and Style
Watoto wachache sana unaoweza kukutana nao wakiwa na accessories ila kwa Jasmeen nikitu cha kawaida sana, kama hana grass hakosi heleni au bangili za mkononi.
hongera sana kwa mzazi kuweza kusimamia Jasmeen mpaka anaonekana mrembo kila siku.