Saturday, December 17, 2016

PATRIC

Hongera kwa kuongeza mwaka mwingine Patrick smart boy in Tz,  HAPPY BIRTHDAY HB.
 Kwaupande wa kuvaa/kutupia Patrick ni mmoja wa watoto ambao wapo kwenye fani hii ila kwangu huwa namuona ndio mjanja wao wote. instar page yake @patdasmartboy