TYRONE JUSTIN
Ndio mshindi wa shindano la kutupia pamba liliendeshwa kwenye mtandao wa instagram. Kulikua na sharti kwamba mtoto wa mtu marufu au mashuhuli hatoshiriki kwasababu wazazi wao wanafollow wengi sana kwahiyo wengine nivigumu kufurukuta.
Hili nishindano la kwanza kwenye blog yetu.
TYRONE JUSTIN amejishindia kitita cha Elfu 50 kwa maandalizi ya Xmass huu ni mwanzo tu. lipia STARTIMES KIFURUSHI KWA 12000 Kummfanya mwanao kupata Outing ya merry brown kula na kucheza.