Friday, March 30, 2012


Habari zenu wadau,
Karibu sana kwenye blog yetu ya jamii,
Napenda sana kushilikiana na watu malika yote yaani sitochagua umri kutokana na blog yetu ilivyo.

Lengo haswa
ni kuwezeshana, kushauriana, kuelimisha na kusaidiana.
Maana kunawatu wanavipaji au uwezo wakufanya jambo Fulani ila hajui aanzie wapi ili ndoto yake itimie.

Nikisema Taifa jipya
kila mtu anapata taswira furani kwenye kishwa chake basi yeyote mwenye lengo , wazo jipya au anajiona mpya basi naomba aungane na mimi kuendeleza hili taifa jipya kwenye Nyanja tofauti tofauti.
Kwa mawasiliano tuma email: wanaraiya0@gmail.com

Karibuni sana wadau wote.

 
Hawa ni watoto ambao tunaamini ni wataifa jipyaa wanafuraha na amani huwezi jua miaka ijayo watakua kinanani hapa Tanzania na Duniani kote.



Kwa mazingira yeyote yale ulionayo usisite wala usikatetamaa kujikita kutafuta elimu, Elimu ndio kilakitu kwenye maisha 
 

Wanafuraha sana baada ya kufundishwa na kumuelewa mwalimu wao, ndio maana swali limekua jepesi kwa wote.



Tuwape nafasi watoto wetu waweze kupata muda wa kucheza na kujifunza vitu tofauti kutoka kwa wenzao inasaidi mtoto kuwa na afya nziri na furaha maishani mwake.