Monday, August 4, 2014

Habari zenu wapenzi wa blog hii?
Namatumaini wote ni wazima 

Nisiku nyingine tena tunakutana kwenye ukurasa wetu huu kuzunguzia Taifa Jipya.
Lazima tuzungumzie upendo na Amani ili Watoto wetu Mabinti Wetu Vijana Wetu wawe kwenye uongozi na usimamizi sahihi katika haki zao za kuendeleza vipaji vyao.