Friday, December 5, 2014



ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA

Kupitia kauli hii wazazi wengi wanajitahidi kuhakikisha kunjia zozote watoto wao wapate elimu haijalishi ya thamani kiasi gani ila nikutokana na uwezo wa mzazi na mazingira alokwepo.

Hii ni hatu kubwa sana ambayo nchi yetu Tanzania imefika zamani tulikua tunasikia kwa mfano mimi sikuwahi kupata nafasi ya kushuhudi ila wapo waliouzulia darasa la chini ya muembe yaani hakuna jengo maalu ni mti tuu wanakuta na mwalimu na wanasoma la kini picha hapo juu kidogo inaonyesha kuna hatua kidogo ya maendeleo na kuwaone huruma wanafunzi hao wamefanikiwa kuweka miti na nyasi juu kikapatikana chumba kimoja lakini kinacho tafutwa hapo ni Ufunguo wa maisha kwa vijana wa taifa la kesho.





ELIMU NI MUHIMU SANA KWA MTOTO

Watoto wa shule ya awali wakiwa nje ya darasa lao.
wanaonyesha wananyuso za furaha sana nadhani ni kwavile mazingira walo kwepo yana wafurahisha na wanaona nisehemu sahihi kwa wao kuwepo kwa ajili ya kupata elimu sahihi kiukweli mazingira ni kitu muhimu sana huyu mtoto hana habari kama kuna mtoto kama yeye anamazingira mazuri zaidi yake ukiongerea darasa anajua nikama lake tuu.