Saturday, December 13, 2014


KITENGE STYLE

Kitenge ni nguo ambayo haipitwi na wakati na vyovyote unavyo vaa kina pendeza ukishona ukifunga pia unapenda kwa sasa fashion iliokwepo sana ni kushona mishono mbali mbali na haina umri wa kuvaa yeyote hata mtoto mdogo pia anapendeza.



Baby girl kapendeza na kitenge na mdoli wake.


Kaka na Dada ndani ya makenza