Huwa na vutiwa saana na hawa vija wa skauti hata akiwa mdogo vipi huwanikimuona na mheshimu na najikuta na mpenda na naona yupo katika mfumo sahihi haswa kutokana tuu na dhamira yao wanachama wa hiyo NGO.
Dhumuni ni kumsaidia kijana kuelekea utimilifu kimwili, kiakili, kiimani, kijamii, nk
Hapa tunaona Vijana wa Skauti wakiwa kwenye moja ya zoezi la kumpatia mwenzao huduma ya kwanza, Hii inamjenga kijana kuweza kutoa msaada kwenye Jamii inayomzunguuka.
Hapa vijana wa skauti wakiweka miili yao sawa,
vijana wa skauti wakiwa kwenye maonyesho,