Tuesday, March 29, 2016



NYWELE ASILIA

Imekua kama ni fashion kuona watoto wetu wenye umri mdogo yaani bado hawana maamuzi yao ila wazazi wao ndio wanapenda kuwa wake watoto wao waonekane vipi, ila kuna wazazi wengine wanapenda watoto wao waonekane kisasa zaidi ila wawe halisia kwa Mfano huyo binti hapo ananywele asili ila ninyingi na zimejaa na ukimuuliza mzazi wake anakwambia mwanae anapenda aonekane hivyo yaani hapendi mwanae kuwekwa dawa.

kiukweli mtoto mdogo akiwa Naturally anapendeza sana na utoto wake unaweza kukadilika kuliko akishaanza kuwekwa madawa na pia mtoto anaepukana na matatizo ya kusumbua mishipa ya kichwa chake.



MTOTO AKIWA NA TABASAMU


Mtoto anaweza kuwa mrembo kwa kufanya style za misuko na pia kuchana na kufungu vidolidoli


MTOTO AMEPENDEZA NA NYWELE ZAKE ZINAVUTIA SANAA