Friday, June 24, 2016

DUA
Naamini kati imani yangu watoto ni malaika kwani bado hawajaanza kuandikiwa dhambi ni vizuri wazazi kuwalea watoto wetu kwenye misingi ya kufuata imani za dini yenu naamini kama mtoto mdogo akikuombea dua inapokelea moja kwa moja kwasababu yeye hana dhambi hata moja.

Nawataki Ramadhan njema kwa watoto wote wanaofunga na kuswali pia na kuwaombea dua wazee wao 
 
Ramadhan Mood na Rayya