POZI KWA POZI 
Kama ilivyo ada nikivutiwa na picha huwa na post mpigaji anaitwa Fatma alinituia na nikavutiwa nazo nikaona siombaya na weza kuziona unaweza kumvasha mtoto simple ila mpangilio wa rangi na mavazi tuu vikamuonyesha smart na kushawishi kuendelea kumtizama.
 ABDULRAHMAN
 HAPO VIPI?
 POZI ZA MWENDO KASI
 PEACE POZ
LA SMILE LA MWENDO KASI LOL
 
 





