Monday, July 18, 2016

Princess Nicolaus

Ni mtoto mwenye Albinism Mashaa Allah ni mrembo saana na kazuri mnoo hongera saana kwa wazazi wake haswa Bro Nicolaus kwasababu niliwahi kukutana na wewe ukiwa na mwana unajitahidi saana kumjali.
Princess anajiamini saana na kwa umri wake kwakweli ni watoto wachache saana ambao wana uwezo kama alonao yeye kwasababu wazazi wake wamemjenga katika mzingira ya kujiamini watoto wengi huwawanakua wanyonge pindi wanapokua na tofauti kidogo na wenzao ila hilo kwa Prince sahahu kukutana nao. 
Nakupenda saana Baby Princess
HONGERA SAANA KWA KUONGEZA MWAKA MWINGINE 
HAPPY BIRTHDAY MYGIRL