AFRICAN PRINT
Unaweza kudesign  nguo ya mtoto kwa vitambaa mbali mbali hata kitenge au kanga na bado mtoto akapendeza na kuvuti kama tuna vyoona kwenye picha.
kuanda nguo kama hiyo inasaidia kupunguza gharama za kwasababu mtoto unaweza kushare nae kwani nguo kama hiyo imeingia kitenge kidogo sana lakini mtoto kapendeza.
KITENGE DRESS
 SIMPLE BUT NICE
 AFRICAN PRINT
 AFRICAN PRINT
 AFRICAN PRINT
MIXED KITENGE
 
 






