Friday, November 11, 2016

 @shagermanyshaneak  Instagram

Kids fashion & style ina ongeza mvuto kwa watoto na pia wazazi inatakiwa tutenge muda wa kufikilia muonekani mpya wa mwanao tofauti na mazoea tuliojiwekea.
Model huyu mama yake ndio anae simamia account yake na kujitahidi kuhakikisha mwanae anaweza.