@khaulamajid_
Nimmoja wa mamodel wawatoto wanao sumbua kwenye instagram na mitandao mbalimbali ya kijamii kwa hapa kwetu Tanzania, binafsi huwa navutiwa sana na nywele zake asilia na kamwili kake kwani huwa aki vaa nguo yeyote inamfanya onekane mrembo sana pata muonekano wake katika nguo tofauti tofauti.
Unaweza kumcheck kwa jina lake hilo hapo chini ya picha.
@khaulamajid_
@khaulamajid_
@khaulamajid_
@khaulamajid_
@khaulamajid_