TANEESHA
Birthday party yake ilifanyika shule na alihudhulia mama yake na mdogo wake Emmy, class nzima walienjoy kwani mama yake alipeleka na zawadi kwa wanafunzi wote wadarasa analosoma Taneesha.
kwa picha zaidi fungu kipengele cha matukio.
Ahsante.