Thursday, June 15, 2017

 JUMPSUIT

Makenzi kitenga jumpsuit wengi tumezoea za kushop lakini unaweza kuishona kwa aina yeyote ya kitambaa ambacho utavutiwa nacho wewe mvaaji kama hapo tumeona binti alivyo tupia na kiremba mashaa Allah.
 JUMPSUIT

 JUMPSUIT

 Jumpsuit unaweza kupata aina tofauti ndefu, fupi akisi na fupi zaidi na pia juu ina weza kuwa na mikono au iwena mikono ya kama vest ni jinsi gani utapenda kuonekana kwenye kivazi hiki cha jumpsuit.
 JUMPSUIT


 JUMPSUIT

JUMPSUIT

 hii pichani kitambaa chake ni cha mpira na ni ndefu na imemwaga kama bwanga nguo yeyote ikiwa kipimo ni chako inakufanya kuwa mwenye mvuto zaidi sasa kwa watoto tuhakikishe nguo isimzidi saizi ili aweze kuwa huru na afurahie vazi lake, yale maswala ya atakuanayo ya mepitwa na wakati.


JUMPSUIT