Friday, June 9, 2017

 BLACK DOT/DOT STYLE

Dotidoti
Leo napenda tuzungumzie dotidoti mara nyingi kina Mama wengi na wasichana ndio wamekua wakienda na fashion tunasahau watoto nao wana haki hiyo pia, 

Dotidoti inaweza kuvaliwa kwa mchanganyiko wa rangi ila maarufu zaidi ni dot nyeupe na nyeusi kama hapo juu tuonavyo una weza kuvaa dot na plan yaani juu ikawa rangi moja na chini dot.


 DOT STYLE

White dot ndani ya black ina shine vizuri na kupendeza zaidi kama hapo nguo imewekwa mikono mirefu black imezidi kuvutia, kilicho ni bamba zaidi ni ua black lilo bandikwa limezidi kuifanya nguo kuanzuri zaidi watoto na mau ndio yana wapendeza.
 DOT STYLE
Black dot
kitamba ni cheupe ila kina dot black simple dress but amazing imeongezwa na mkanda mweusi ila nimenivutia zaidi ua la kichwani mashaa Allah.    

 DOT STYLE
hapa tunaweza kuona white dot ilivyo noga kwenye dark blue hii inaonyesha kila rangi inaweza kupendeza ikiwa na dot hata nyekundu black dot au white zitapendeza tuu hai kulazimu iwekwenye kitamba cheupe tuu au cheusi tuu
 DOT STYLE

Hapa tunaona pia waweza kuvaa rangi yeyote ya top juu lakini chini uka vaa na sket ya dot kama hapo juu na ikawa bomba kabisa.

DOT STYLE