Wednesday, June 7, 2017

 JEANS FASHION 
 
Habari wapenzi wa blog yetu pendwa 
Leo tutizame fashion ya jeans zipo aina mbali mbali waweza kumvalisha mwanao aidha full jeans kama huyo hapo juu, kavaa kot ya jeans na skin jeans na kapendeza sana za idi walet yake ndio hatariiiii imezidi kumfanya onekane smart zaidi kwani imeendana na viatu vyake vyenye stone.

  JEANS FASHION

Jeans kwasababu ni plan una weza kuvaa na kitu kingine tofauti kama hapo binti katupia na sketi ya chui chui hata ikiwa ya mau inapendeza pia hapo kijana kava na suruali nyeusi pia imenoga sana.
  JEANS FASHION

Kot ya Jeans una weza kumtupishia kama hapo juu ya gauni sasa hapa pia gauni haijalishe ikoje ila weza kua rangi moja au rangi nyingi, mistari kama hiyo hapo jua au nyote au vyovyote vile ndefu au fupi zote zina pendeza.
 JEANS FASHION

Top dress Jeans kama hii unaweza kuvaa na skin tyt kama hapo na haijalishi ni rangi moja au zaidi ya moja kwa sababu juu yuko single colour atakua mwenye kuvutia zaidi hapo hako kamkanda ndio kameni gusa zaidi coz kamemechi na buti yake.