Friday, June 2, 2017

 RAMADHAN KAREEM TO ALL MUSLIM



HIJAB GIRL


ASALAAM ALEYKUM

Tumekutana tena kwenye mwezi wa ramadhani ndugu zangu wapenzi wa blog yetu.
pichani tunamuona mtoto wa kiislam akiwa kavalia Bwanga top na mtandio Mashaa Allah kapendeza sana japo kavaa rangi nyingi lakini yuko kifashion zaidi,

wazazi kama tunataka watoto wetu wavae stara lakini tusiwavalishe vitu vitakavyo mfanya mtoto kujihisi mzito au hayuko huru kucheza,

kama mtoto pichani amevaa stara lakini yuko huru kwasababu mavazi haya mbani mwilini na sio mazito sana kwake na pia yana mfanya aonekane mrembo zaidi.